1/5
Ila Pesa screenshot 0
Ila Pesa screenshot 1
Ila Pesa screenshot 2
Ila Pesa screenshot 3
Ila Pesa screenshot 4
Ila Pesa Icon

Ila Pesa

SwahiliDoc
Trustable Ranking Icon
1K+Preuzimanja
10.5MBVeličina
Android Version Icon5.1+
Android verzija
1.29(10-11-2020)
-
(0 Prikazi)
Age ratingPEGI-3
Preuzmite
DetaljiPrikaziИнфо
1/5

Opis aplikacije Ila Pesa

Ila Pesa ni Aplication inayokuwezesha kufanya miamala kama kutuma

*Kutuma Pesa

*Kutoa Pesa

*Kufanya Miamala

*kulipa Bili kama Luku| Maji na Bili Mbalimbali

*Kununua Salio na Vifurushi

*kufanya Malipo mfano Kununua Vitu

*Kuweza kulipwa mojakwamoja kutoka mitandao ya kijamii kutumia link yako

na Vingine vingi


pia Ila pesa inakuwezesha kufanya malipo kwa kuscan au kutuma Pesa ambapo kila mtumiaji wa Ila Pesa huwa na Qr Code yake inayomuwezesha kupokea Malipo kwa urahisi zaidi


Ilapesa inkuwezesha kuifadhi historia za miamala pia kuhifadhi kumbukumbu kama Ruku na zingine nyingi


IlaPesa inakupa urahisi wa Kutuma Pesa pasipo kuhangaika kuweka namba unaweza kuserch namba kwenye Phone book yako na ukamtumia mtu mojakwa moja kwa urahis


Muonekano rahisi na mzuri zaidi


Karibu Kutumia Ila Pesa


Ila Pesa - Verzija 1.29

(10-11-2020)
Šta je novoMalekebisho *Uwezo wa Kukopy namba | Luku namba | namba ya simu | namba ya Wakala nk*Muonekano *Uwezo wa kumaliza miamala chini ya sekunde 12* Na mengine MengiKutumia Ilapesa unaweza* Tuma Pesa*Lipa kwa Qr Code*Toa kwa Kuscan Qr Code ya wakala*Lipwa au fanya malipo Mojakwamoja kutoka mitandao ya kijamii na Vingine Vingi

Trenutno nema komentara ili ocena! Da biste ostavili prvi komentar ili ocenu,

-
0 Reviews
5
4
3
2
1

Ila Pesa - Informacije o APK datoteci

Verzija APK datoteke: 1.29Paket: com.sdscanner
Kompatibilnost sa Android sistemom: 5.1+ (Lollipop)
Programer:SwahiliDocSmernice za privatnost:https://ilapes.com/privacy-policy.htmlDozvole:21
Naziv: Ila PesaVeličina: 10.5 MBPreuzimanja: 0Verzija : 1.29Datum objavljivanja: 2020-11-10 20:21:23Najmanji ekran: SMALLPodržana CPJ:
ID paketa: com.sdscannerSHA1 potpis: E1:AC:8B:83:AB:2A:D6:17:15:2E:40:52:E8:BC:90:26:7C:79:77:A4Programer (CN): AndroidOrganizacija (O): Google Inc.Lokacija (L): Mountain ViewZemlja (C): USDržava/grad (ST): CaliforniaID paketa: com.sdscannerSHA1 potpis: E1:AC:8B:83:AB:2A:D6:17:15:2E:40:52:E8:BC:90:26:7C:79:77:A4Programer (CN): AndroidOrganizacija (O): Google Inc.Lokacija (L): Mountain ViewZemlja (C): USDržava/grad (ST): California